Inapokanzwa Ulimwenguni Katika Mahali baridi zaidi Duniani – Maswala ya Ulimwenguni

Mfano wa multilateralism, Antarctica inafungwa na makubaliano ya Antarctic yenye mataifa 57 yaliyowekwa kwa amani na sayansi. Pia ni hifadhi kubwa ya maji safi kwenye sayari yetu. Antarctica haina mji mkuu kwa sababu ni bara, sio nchi. Mikopo: UNDP/Raja Venkatapathy Maoni na Raja Venkatapathy Mani (Antarctica) Jumatatu, Februari 24, 2025 Huduma ya waandishi wa habari…

Read More

EXIM BANK YAINGIA MKATABA WA MIAKA MITATU NA ZATI

  Benki ya Exim imeingia mkataba wa miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la kukuza na kuinua sekta ya utalii Zanzibar. Mkataba huo ulisainiwa na Mkuu wa Kitengo cha Fedha kutoka benki ya Exim, Shani Kinswaga pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI), Suleiman Ally,…

Read More

Wafanyabiashara waeleza changamoto mfumo wa stakabadhi ghalani

Bariadi. Wafanyabiashara wa mazao mchanganyiko katika Mkoa wa Simiyu wameeleza changamoto wanazokutana nazo kutumia Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani, huku Serikali ikisisitiza umuhimu wa mfumo huo. Hayo yamebainika leo Februari 24, 2025 mjini Bariadi mkoani Simiyu katika mkutano wa wafanyabiashara hao na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kighahe….

Read More

Rais Samia: Nimemrudisha Makamba kwa mama

Lushoto. Rais Samia Suluhu Hassan amesema ameamua kumrudisha kwake Mbunge wa Mumbuli, Januari Makamba baada ya kile alichodai alimpiga kikofi. Kauli ya Rais Samia inakuja miezi saba, tangu alipotengua uteuzi wa Makamba katika nafasi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Ingawa taarifa ya utenguzi wa Makamba ya Julai mwaka jana…

Read More

Afariki kwa kupigwa shoti akiiba nyaya kwenye transfoma

Shinyanga. Mkazi wa kata ya Kitangili iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Daniel Mussa Mageni (27) anadiwa kufariki dunia kwa kupigwa shoti ya umeme wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme kwenye transfoma iliyopo kitongoji cha Isenegeja, Kijiji cha Isela wilayani Shinyanga. Tukio hilo limetokea leo Februari 24, 2025 baada ya shuhuda, John Shija kumkuta…

Read More

Serikali yatoa Sh209 milioni kuwezesha vijana kujiajiri

Unguja. Jumla ya Sh209 milioni zimetolewa kuviwezesha vikundi 18 vya vijana kwa lengo la kuendeleza shughuli za ujasiriamali na biashara, kupitia fedha zinazotolewa na Serikali za mitaa. Vikundi hivyo vyenye wanachama 134 vimepata fedha hizo kupitia asilimia 10, ambapo wanawake ni asilimia nne, vijana asilimia nne na watu wenye ulemavu asilimia mbili. Hayo yamebainishwa na…

Read More