Matano mambo magumu Fountain | Mwanaspoti
HALI ni mbaya kwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate, Mkenya Roberto Matano baada ya kikosi hicho kuchapwa juzi bao 1-0, dhidi ya Dodoma Jiji, na kuifanya timu hiyo kufikisha jumla ya michezo minane ya Ligi Kuu bila ya kuonja ladha ya ushindi. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma, wenyeji walipata bao la…