UJUMBE WA TANZANIA NCHINI MALAWI WASISITIZWA KUTUMIA JUKWAA LA JPCC KUIBUA MAENEO YENYE TIJA YA USHIRIKIANO.
Ujumbe wa Tanzania utakaoshiriki Mkutano wa Sita wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPCC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malawi wamesisitizwa kutumia Mkutano huo kuibua na kuendeleza maeneo muhimu ya Ushirikiano yenye manufaa kwa mataifa hayo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje…