MASAUNI:SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI MCHANGO WA DINI ZOTE
Na Mwandishi wetu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa Dini zote katika kujenga maadili mema ndani ya jamii ya Watanzania hivyo kila mmoja amaowajibu wa kusaidia katika kutekeleza jukumu la malezi. Amesema vijana wakifundishwa mila na desturi sahihi…