RAIS MWINYI AJUMUIKA NA WANAVYUONI NA WANANCHI KATIKA KISIMO CHA HITMA NA DUA YA KUMUOMBEA RAIS MSTAAFU MAREHEMU ALI HASSAN MWINYI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (kushoto kwa Rais) wakiwa katika kaburi la marehemu, baada ya kumalizika…