Waziri Jr amtaja Simon Msuva dili la Iraq
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji aliyetambulishwa hivi karibuni na klabu ya Al Mina’a ya Iraq amesema Simon Msuva ana mchango mkubwa kutua katika timu hiyo. Wazir Jr aliyewahi kukipiga Yanga 2020/21, alisaini mkataba wa miezi sita na timu hiyo iliyopo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi hiyo yenye timu 20 akiwa pia ni…