Polisi Wadaiwa Kujiunga Na M23 Bukavu – Global Publishers
Mamia ya askari wa Jeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanadaiwa kujiunga na waasi wa M23 katika Mji wa Bukavu baada ya kuuteka mji huo. Waasi wa M23 waliingia Bukavu wiki iliyopita na kufanikiwa kuuteka mji huo ambapo majeshi ya serikali yalitoweka kimyakimya na kuwafanya waasi hao waushikilie mji…