Hali ya Papa Francis yabadilika, Vatican yasema ‘yuko mahututi’
Rome. Vatican imesema Papa Francis, ambaye amelazwa hospitalini kwa zaidi ya wiki moja, bado yuko katika hali ya “mahututi” huku akipatwa na changamoto katika mfumo wa upumuaji, ‘pumu.’ “Asubuhi ya leo (jana), Papa Francis alipata changamoto ya kupumua kwa kiwango kikubwa, ambayo pia ilihitaji matumizi ya oksijeni kwa kiwango cha juu,” iliandika taarifa ya Vatican…