JOTI ALAMBA MILIONI 5 CHEKA NA SAMIA

NISHAI,Andunje,Da Kiboga ,Mwajuma ndala ndefu na Majina mengi ambayo amejizolea kutokana na Uhusika anazofanya lakini zaidi anatambulika Kama Joti. Ni miongoni mwa Waliong’ara Katika Kilele cha Tuzo za Ucheshi (TCA) Katika Kipengele cha Tuzo ya Mchekeshaji bora wa Mwaka ambazo ndio mara ya Kwanza zinafanyika nchini Tanzania na Afrika Kwa ujumla ambazo Mgeni rasmi ni…

Read More

Chaumma yajitosa uchaguzi mkuu, waja na mkakati wa ‘ubwabwa’ hospitalini

Mbeya. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimesema licha ya manung’uniko lakini kipo tayari kwa uchaguzi mkuu, huku kikitaka kura ya mwananchi iheshimiwe. Pia, amesema chama hicho kimesikitishwa na uchakavu wa miundombinu ya barabara katika mitaa ya Jiji la Mbeya huku akiitupia lawama CCM kwamba hakijawa tayari kuwatumikia wananchi ipasavyo. Akizungumza leo Februari 22, 2025…

Read More

Vodacom Tanzania Foundation Kufadhili Kongamano la Utafiti Elimu Tanzania 2025

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation imethibitisha tena dhamira yake ya kuboresha elimu nchini Tanzania kwa kuungana na Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CoICT) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuunga mkono Kongamano la Utafiti Elimu Tanzania (UET) 2025.  Kongamano hilo, litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Maruhubi Zanzibar kuanzia…

Read More

COY ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA (TCA)

Mwanzilishi wa Jukwaa la Ucheshi (Cheka tu) Conrad Kennedy Coy amepewa Tuzo ya Heshima Katika Usiku wa Tuzo za Ucheshi (TCA) unaofanyika Ukumbi wa Superdom Masaki Jijini Dar es Salaam. Coy amekuwa akitoa Mchango wake Mkubwa na Kufanya Mapinduzi ya burudani ya Ucheshi Kipindi cha hivi Karibuni . Aidha Coy amekuwa akilea Wasanii wa Ucheshi…

Read More

Unajua sababu kutokea dimpozi shavuni, kiunoni?

Dar es Salaam. Dimpozi la kwenye shavu ni maarufu kwa kuleta tabasamu la kipekee na mvuto wa aina yake, dimpozi la kiunoni maarufu kama ‘dimples of venus’ ambazo wakati mwingine, huchukuliwa kama ishara ya uwiano sahihi kati ya umri na uzito wa mwili wa muhusika. Kwa mujibu wa utafiti wa American Journal of Physical Anthropology…

Read More

Zijue dalili zisizojulikana za mshtuko wa moyo

Dar es Salaam. Maumivu ya kifua na kupumua kwa shida ni dalili zinazojulikana za mshtuko wa moyo, lakini ni muhimu pia kuwa makini na dalili zisizojulikana kama mabadiliko ya rangi ya macho na miguu kuvimba, ameonya Daktari Bhavini Shah. Moja ya dalili za ajabu ni hali inayojulikana kama digital clubbing, ambayo ni unene na upanukaji…

Read More