VIFAA TIBA SAHIHI MANUSURA KWA MAGONJWA YA VIDONDA MGANDAMIZO NA UFUPISHO WA MISULI
TAASISI,Makampuni na Mashirika yanayowezesha Vifaa tiba Kwa Watu Wenye Ulemavu Wameshauriwa Kufanya Uchunguzi wa Vifaa tiba Sahihi vya Kuwapatia Walemavu ili Kuwanusuru na changamoto mbalimbali ikiwemo Magonjwa ya Vidonda mgandamizo. Akizungumza wakati wa Semina ya Vifaa tiba sahihi Kwa Walemavu iliyoandaliwa na Taasisi ya Kubuni na Kutengeneza Vifaa saidizi Kyaro Assesive Tech Mkurugenzi wa Taasisi…