WAZIRI WA AFYA AKAGUA MIUNDOMBINU,HUDUMA ZINAZOTOLEWA HOSPITALI YA HALMASHAURI WILAYA YA YA HANDENI
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni (Mkata) Mkoani Tanga inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho Februari 23, 2025 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Miongoni mwa wodi alizotembelea na…