KESI ZA ACT WAZALENDO: Msimamizi uchaguzi abadili gia angani uhalali wa mgombea ACT

Kigoma. Msimamizi msaidizi wa uchaguzi wa mtaa wa Livingstone, Kata ya Kasingirima, Manispaa ya Kigoma Ujiji, amebadili gia angani baada ya kukiri mahakamani kumtambua mwanachama wa ACT – Wazalendo, Luma Akilimali kuwa alikuwa mgombea katika uchaguzi huo. Akilimali amefungua shauri la uchaguzi Mahakama ya Wilaya ya Kigoma akipinga mchakato na uchaguzi wa mwenyekiti wa mtaa…

Read More

CCM kutafakari kuhusu viwanja vyake

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinafikiria kuona iwapo kiendelee kuviendesha viwanja vyake vya soka au kitafutwe mwekezaji wa kuifanya kazi hiyo. CCM inakuja na kauli hiyo, wakati ambao kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wadau, wakihoji inawezekanaje Serikali igharimie matengenezo ya viwanja vinavyomilikiwa na chama hicho. Hayo yameelezwa leo, Ijumaa Februari 21, 2025 na Katibu wa…

Read More

NBS: Tanzania ina mfumuko mdogo wa bei EAC

Dar es Salaam. Taarifa rasmi zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) zinaonyesha kuwa mfumuko wa bei nchini umebakia kuwa asilimia 3.1 tangu Desemba 2024, kiwango ambacho ni chini ikilinganishwa na nchi jirani. Katika kipindi kama hicho Kenya ilishuhudia ongezeko la mfumuko wa bei kutoka asilimia 3.0 mwezi Desemba hadi asilimia 3.3 mwezi Januari….

Read More

Wadau Geita waingilia kati upungufu wa vyoo shuleni

Geita. Wanafunzi 1,156 wa Shule ya Msingi Ikulwa iliyopo katika Manispaa ya Geita wanatumia matundu manane ya vyoo, sawa na tundu moja kutumiwa na wanafunzi 163, jambo ambalo ni kinyume na mwongozo wa Sera ya Elimu unaoelekeza tundu moja kutumiwa na wasichana 20 au wavulana 25. Uhaba wa matundu ya vyoo husababisha foleni ndefu za…

Read More

CCM: Uteuzi wa Dk Nchimbi haulengi urais 2030

Dar es Salaam. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema uamuzi wa chama hicho kumpitisha Katibu Mkuu wake, Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa urais, haulengi kumtengenezea nafasi ya kugombea urais katika uchaguzi wa 2030. Msingi wa ufafanuzi wa Makalla ni mitazamo iliyoibuka baada ya Mkutano Mkuu Maalum…

Read More

Chalamila: Wanawake wamebeba maono ya Taifa

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uwezeshwaji wa wanawake katika nyanja mbalimbali, ikiwemo masuala ya uongozi, utasaidia kuongeza na kuimarisha nguvukazi ya nchi kwa kuwa wao ni wabeba maono ya Taifa. Chalamila anasema hatua hiyo ni muhimu kwani idadi yao (wanawake) ni kubwa kuliko wanaume na pia uwezo…

Read More

Ulevi ulivyosababisha meneja GPSA kusimamishwa kazi Tabora

Mwanza. Meneja wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) mkoani Tabora, Mayala Mburi ameingia matatani akidaiwa akiwa mlevi alimtukana Mkuu wa Mkoa huo, Paul Chacha na watumishi sita kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu alipotafutwa kuwapatia huduma. Madai hayo yakitolewa, taarifa ya GPSA kupitia Kitengo cha Mawasiliano na Masoko ya Februari 20, 2025 imesema Mayala…

Read More

Huu hapa msimamo wa CCM kuhusu ‘No reform, No election’

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa msimamo wake kuhusu kampeni ya No Reform, No Election (bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi) ya Chadema kikisema, chama kimoja hakitaweza kuzuia uchaguzi kufanyika. Katika msisitizo wake kuhusu hilo, CCM kupitia kwa Katibu wake wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla kimesema kwa kuwa uchaguzi ni…

Read More