Wafula Chebukati afariki dunia akiwa na miaka 63

Nairobi. Wafula Chebukati, aliyesimamia uchaguzi wa urais wa mwaka 2017 uliobatilishwa na Mahakama ya Juu na pia uchaguzi wa mwaka 2022 uliosababisha mgawanyiko mkubwa ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 63. Kipindi chake cha uongozi kama Mwenyekiti wa IEBC, kilianza Januari 2017 baada ya kuondolewa…

Read More

Chebukati afariki dunia akiwa hospitali Nairobi

Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya, Wafula Chebukati, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 62. Taarifa kutoka kwa familia yake zinaeleza kuwa Chebukati alifariki jana Februari 20, 2025, katika hospitali moja jijini Nairobi alipokuwa akipatiwa matibabu. Aidha, Chebukati ameugua kwa takriban wiki moja na alikuwa…

Read More

Amuua nduguye kwa shoka wakigombania ugali

Kakamega, Kenya. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Reuben Lutaboni (42) ameripotiwa kumuua mdogo wake Michael Lukala (40) kwa kinachodaiwa kupishana kauli juu ya kiasi cha ugali walichotakiwa kukipika. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kilimani Kaunti ya Kakamega nchini Kenya, kama lilivyoripitiwa na tovuti za Jambo Radio na Tuko. Kwa mujibu wa kaka yao…

Read More

TUNAKATA MOROGORO YA UWEKEZAJI , RC MALIMA

FARIDA MANGUBE, MOROGORO Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe, Adam Kighoma Malima, amewataka watumishi wa umma pamoja na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kutengeneza mazingira bora na rafiki kwa wawekezaji, ili kuvutia uwekezaji utakaosaidia kukuza sekta mbalimbali za uchumi Mkoani Morogoro. Akizungumza katika mkutano wa wawekezaji Malima amesema kwamba uwepo wa wawekezaji katika sekta mbalimbali…

Read More

Waumini wa Kiislamu waibua mjadala adhabu ya fimbo madrasa

Dar/Mikoani. Viongozi na waumini wa dini ya Kiislamu, wameeleza wasiwasi wao kuhusu matumizi ya adhabu kali kwa watoto wanaosoma madrasa, wakisisitiza zinazotolewa lazima ziwe za mafunzo na za kumjenga mtoto kiroho na kimaadili, badala ya kumuumiza. Kauli hiyo imetokana na mahojiano yaliyofanywa na Mwananchi kutokana na malalamiko kwenye mitandao ya kijamii kuhusu adhabu za viboko…

Read More