WAZIRI MKUU MAJALIWA KUONGOZA SAMIA MARATHON MKOANI PWANI FEBRUARI 22, 2025″
Mwamvua Mwinyi, Pwani Februari 20, 2025 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mbio za Samia Marathon zitakazofanyika Februari 22, 2025, katika viwanja vya Shule ya Mtongani, Mlandizi, Kibaha Vijijini, mkoani Pwani. Mbio hizi zinalenga kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa kujitokeza kupiga kura wakati wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka…