Kocha Yanga amshangaa Aziz KI, afunguka jambo zito

Imekuwa ni mazoea watu wanaoana huwa na siku 7 za kukaa fungate kwa ajili ya kusherehekea kutimiza ibada hiyo ya ndoa, lakini kwa nyota wa Yanga, Stephane Aziz Ki ni kama suala hilo halipo kutokana na kuwa katika msafara wa wachezaji wa Yanga walioenda mjini Kigoma. Yanga inatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, kukabiliana…

Read More

Wawakilishi saba wa LBL mbaroni Geita

Geita. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu saba ambao ni wawakilishi wa Kampuni ya Leo Beneth London (LBL) kwa tuhuma za kuendesha biashara ya fedha mtandaoni bila kuwa na kibali cha Benki Kuu ya Tanzania. Kaimu Kamanda Maro amesema watu hao waliopo mji mdogo wa Katoro wamekuwa wakiwatoza wananchi fedha kati ya Sh50,000…

Read More

Silaa: Kila mtu ana wajibu wa kujilinda utapeli mtandaoni

Arusha. Serikali imesema kila mwananchi ana wajibu wa kujilinda dhidi ya utapeli na ulaghai wa mtandaoni ikiwemo kutotoa taarifa zake binafsi kwa mtu asiyemfahamu. Pia, imesema wengi waliotapeliwa wametoa taarifa zao binafsi ikiwemo kutoa nywila zao kwa vyanzo mbalimbali na kujikuta wametapeliwa. Hayo yamebainishwa leo Ijumaa Februari 21, 2025 na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia…

Read More

Serikali kutathimini ulazima kampuni za simu kuuza hisa

Arusha. Serikali imesema ipo tayari kurudi kwenye meza ya mazungumzo na wadau wa sekta ya mawasiliano kutathimini utekelezaji wa sheria inayozitaka kampuni za simu kuuza asilimia 25 ya hisa zake kwa umma, kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Mpaka sasa ni Vodacom Tanzania pekee iliyotekeleza takwa la Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki…

Read More

Sare yamchefua kocha TZ Prisons, Ngassa atuliza presha

SARE ya bao 1-1 iliyopata Tanzania Prisons dhidi ya Tabora jioni hii kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini hapa, imeonekana kumtibua kocha mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah, akiiwakia safu ya ushambuliaji. Mbali na washambuliaji, lakini kocha huyo amesema kuruhusu mabao kila mechi inampa wakati mgumu kuendelea kusuka upya kikosi hicho kuhakikisha wanaondoka nafasi za chini…

Read More

Kamati ya PAC yaibua kasoro utendaji taasisi za Serikali

Unguja. Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) ya Baraza la Wawakilishi, imesema katika utendaji kazi wake imebaini kasoro nyingi, ikiwemo taasisi za Serikali kutofanya usuluhishi wa kibenki, hivyo kusababisha kuwepo tofauti baina ya taarifa za fedha za benki na zile za fedha taslimu za taasisi. Kutokana na hilo PAC imesema kumekuwa kukiibuka hoja…

Read More