Takukuru yajitosa tuhuma za rushwa wagombea CCM
Dar/Dodoma. Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, kueleza kuhusu mbinu mpya za rushwa zinazotumiwa na baadhi ya makada wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imekiri kuwa na taarifa hizo na inazifanyia kazi. Juzi, Dk Nchimbi alieleza kuwapo kwa vitendo…