Wiki mbili tu, hati ya uwanja mpya Yanga freshi
YANGA imehakikishiwa kuwa, ndani ya wiki mbili tu itakabidhiwa rasmi hati ya ongezeko la eneo la ujenzi wa uwanja unaotarajiwa kujengwa makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Jangwani. Eneo hilo awali ndiko ulikokuwa Uwanja wa Kaunda ulioifanya Yanga kuwa klabu ya kwanza kumiliki uwanja kabla ya mambo kuwatibukia na kuhaha kuurejesha, ila kikwazo ilikuwa…