TUNAKATA MOROGORO YA UWEKEZAJI , RC MALIMA
FARIDA MANGUBE, MOROGORO Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe, Adam Kighoma Malima, amewataka watumishi wa umma pamoja na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kutengeneza mazingira bora na rafiki kwa wawekezaji, ili kuvutia uwekezaji utakaosaidia kukuza sekta mbalimbali za uchumi Mkoani Morogoro. Akizungumza katika mkutano wa wawekezaji Malima amesema kwamba uwepo wa wawekezaji katika sekta mbalimbali…