Uhusiano wa maumivu ya meno na hedhi kwa wanawake
Wiki iliyopita nilipokea swali kutoka kwa msomaji jina limehifadhiwa, aliuliza ni kwa nini anapata maumivu ya jino anapokaribia kuingia mzunguko wa hedhi na huendelea siku chache hata baada ya hedhi kuisha. Hedhi inapokaribia kiwango cha homoni za kike zijulikanazo kitabibu kama ‘estrogen na progesterone’ huwa juu na husababisha damu kutiririka zaidi kwenye ufizi, hivyo kufanya…