Dawasa yapewa masharti kutoa maji saa 24, fedha za usumbufu kila mwezi
Dar es Salaam. Wenyeviti 142 wa Serikali ya mitaa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam wameingia makubaliano na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Dawasa) ikiwamo sharti uhakika wa maji kwa saa 24 na fedha za mawasiliano kila mwezi. Makubaliano hayo yaliingiwa leo, Alhamisi Februari 20, 2025 kwenye semina iliyoandaliwa na Dawasa ya…