Utekelezaji Sheria ya Epoca 2016 kwa kampuni za simu kufanyiwa tathmini
Arusha. Serikali imesema ipo tayari kurudi kwenye meza ya mazungumzo na wadau wa sekta ya mawasiliano kutathmini utekelezaji wa sheria inayozitaka kampuni za simu kuuza asilimia 25 ya hisa zake kwa umma kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Kauli hiyo inakuja huku kukiwa na taarifa za kuwepo kwa Watanzania walionunua hisa kwenye…