Maofisa 12 wa LBL mbaroni, kampeni ‘Sitapeliki’ yazinduliwa
Morogoro/Arusha. Wakati Jeshi la Polisi likiwashikilia watu 12 mikoa ya Mbeya na Morogoro, kwa tuhuma za kuendesha biashara ya fedha mtandaoni bila kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Serikali imezindua kampeni maalumu ya kudhibiti vitendo vya kitapeli na ulaghai. Kampeni hiyo ya ‘Sitapeliki’ inalenga kutoa elimu kwa umma na kushughulikia masuala ya utapeli na…