Hizi ndizo changamoto zinazomkandamiza mtoto wa kike, kungwi watajwa
Dar es Salaam. Wakati mapambano ya usawa wa kijinsia yakiendelea si Tanzania pekee bali duniani, wadau eneo hilo wamekuja na mradi wa jinsia wenye lengo la kuipa jamii elimu pamoja na kutokomeza ukandamizwaji wa mtoto wa kike. Katika mradi huo ulioanza mwaka 2022 ambao unatarajiwa kukamilika mwaka huu 2025 ulioandaliwa na Taasisi ya Aga Khan…