Afya ya uzazi kwa vijana mtegoni USAID ikisitisha misaada
Dar es Salaam. Kama ulidhani kusitishwa kwa misaada ya maendeleo nje ya Marekani, kunawagusa wafanyakazi na walio mstari wa mbele pekee, umekosea. Kukosekana kwa misaada hiyo, kunawaamsha wadau wakisema itarajiwe ongezeko la maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, magonjwa ya ngono, mimba za utotoni, vifo vitokanavyo na uzazi. Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa…