Sababu, athari Serikali kukopa zaidi maeneo haya
Hadi kufikia Desemba 31, 2024 deni la taifa la Tanzania lilikuwa limefikia Dola za Marekani 46.56 bilioni (Sh121.45 trilioni), huku Serikali ikichangia asilimia 70.7 ya deni lote. Ripoti ya mwenendo wa uchumi ya kila mwezi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaonyesha kuwa katika deni lote la Taifa, deni la nje lilikuwa Dola 32.92…