M23 wanavyoacha vilio kwa wasafirishaji wa Tanzania
Mgogoro unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umezidi kuleta hasara katika maeneo mbalimbali. Wasafirishaji nchini Tanzania wanadai kuwa asilimia 80 ya malori yaliyokwama katika taifa hilo la Afrika Mashariki mizigo yake imeibwa lakini pia vipuri vimenyofolewa. Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (Tatoa), Elias Lukumay, katika mahojiano na Mwananchi, anaeleza kuwa…