James arejea KVZ, apiga mkwara mzito
BAADA ya beki wa KVZ, Juma Hassan Shaaban maarufu James kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akikosekana katika maandalizi ya timu hiyo kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Zanzibar, hatimaye amerejea huku akiwapiga mkwara wapinzani wao.Mwanaspoti limemshuhudia James akiwa mazoezini na kikosi cha KVZ ambapo alisema kurejea kwake kikosini, timu hiyo ipo…