Jinsi kaburi la aliyenyofolewa sehemu za siri lilivyofukuliwa
Geita. Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili washtakiwa wanne wanaodaiwa kumuua Joyce Ludeheka kwa kumkata na kitu chenye ncha kali kisha kukata sehemu yake ya siri na kuikausha, umeieleza mahakama namna kaburi lilivyofukuliwa na kuchukua sampuli kwa ajili ya vipimo vya vinasaba. Kesi hiyo iliyopo Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Geita, mashahidi wanne wametoa ushahidi…