JUMATANO YA KUOKOTA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Leo ni ile siku ya kutunisha pochi lako na kitita cha kutosha kupitia ligi ya mabingwa barani ulaya ambapo michezo mikali hua inapigwa leo na wapenzi wengi wa kubashiri hujinyakulia mikwanja ya kutosha kupitia michezo hii. Michezo ambayo inakwenda kuchezwa leo ina asilimia kubwa kukuacha milionea kwani michezo ya ligi ya mabingwa barani ulaya leo…