Mwanazuoni mkongwe wa Kiislamu Sheikh Muwinge afariki dunia
Morogoro. Mwanazuoni mkongwe na mwalimu wa dini ya Kiislamu Mkoa wa Morogoro, Sheikh Ayubu Muwinge amefariki dunia Jumanne, Februari 18, 2025 katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu. Mwili wa Sheikh Muwinge utazikwa leo Jumatano, Februari 19, 2025 katika makaburi ya Kola yaliyopo…