Vita ya ubingwa, Fadlu aishtukia Yanga
SIMBA inashuka uwanjani ugenini Jumatano hii dhidi ya Namungo kwenye mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara lakini Kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids kuna ishu kaishitukia kuhusu watani wao wa jadi, Yanga. Simba ipo nafasi ya pili na pointi 47 ambazo ni tano nyuma ya vinara Yanga ambao wamecheza michezo miwili zaidi, inaingia uwanjani wa…