Aweso awataka Dawasa wasizoee matatizo ya wananchi
Dar es Salaam. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kutokubali kuzoea matatizo ya wananchi bali wayashughulikie kwa kasi kubwa. Ameyasema hayo leo Jumanne, Februari 18, 2025 katika kikao kazi kati ya Dawasa na wenyeviti wa serikali za mitaa wilaya ya Kinondoni akisema…