JKT Tanzania yapata ushindi, KenGold yatakata
Ushindi wa mabao 2-0 ambao wameupata JKT Tanzania, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC umewafanya Maafande hao kupanda nafasi sita kwenye msimamo wa ligi hiyo, huku KenGold ikiendeleza moto. Awali JKT ambao hawakuonja ushindi katika michezo minane iliyopita sawa na dakika 720, walikuwa nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi hiyo wakiwa…