PROF. KITILA ATAJA SABABU ZA WATANZANIA KUMCHAGUA DK. SAMIA
::::::: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema watanzania wanayo kila sababu ya kumchagua mgombea Urais anayetokana na CCM Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa alizofanya katika awamu yake ya kwanza ikiwemo kuwahakikishia watanzania Amani, Usalama na Utulivu. Akizindua kampeni katika…