Visa vya watoto wa pili kwenye familia
Dar es Salaam. Kwa mujibu wa utafiti nafasi ya mtoto kuzaliwa katika familia, inaweza kuathiri tabia zake. Inaelezwa kwa mfano, wakati watoto wa kwanza huwa na tabia za uongozi katika kufanya majukumu yao na hata kuwaongoza wadogo zao; watoto wa mwisho au vitinda mimba wanaongoza kwa kudeka. Aghalabu, huona kila majukumu wanayopewa kama hawastahili. Watoto…