Masauni ataja changamoto uchumi wa buluu
Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Masauni ametaja changamoto nne mtambuka zinazochangia Taifa kutonufaika ipasavyo na rasilimali za uchumi wa bluu ikiwemo kukosekana kwa ujuzi wa matumizi ya rasilimali za uchumi huo. Changamoto nyingine ni kukosekana kwa mpango wa matumizi wa maeneo ya maji, uwekezaji usio wa kimkakati…