Walipakodi wataka kundi dogo, la kati kutambuliwa na TRA
Dodoma. Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Dodoma ikivuka lengo kwa kukusanya Sh98.2 bilioni kwa kipindi cha miezi sita, walipakodi wameshauri kutambuliwa kwa kundi la kati na dogo ili kuongeza wigo wa walipakodi. Oktoba 4, 2024, Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizindua Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, alisema ni watu milioni…