Maajabu ya nywele anazozaliwa nazo kichanga
Dar es Salaam. Katika kipindi cha ujauzito,mtoto akiwa tumboni hupitia mabadiliko mengi ya ajabu,na moja ya mabadiliko hayo ni pamoja na ‘Lanugo. Kwa mujibu wa utafiti wa International Journal of Pediatric Research wa mwaka 2018, Lanugo ni nywele nyepesi zinazokuwa kwenye mwili wa mtoto mchanga, ambapo kazi yake kubwa ni kudhibiti joto la mwili wa…