Leyla Genius Atokwa Machozi, Zari Mapito Amfanyia Surprise Valentine – Video – Global Publishers
Habari njema! Binti Leyla (23) aliyepata scholarship ya kusomea udaktari India na kukatisha masomo yake kwa ugonjwa, tayari ameanza mazoezii ya kukaa na anaendelea vizuri ambapo amesema hivi sasa hata watu wakimuona hajisikii vibaya tena kwani anaamini atapona. Furaha ya Leyla imeongezeka baada ya @zali_mapito kumfanyia surprise kwenye siku ya ‘Valentine’ Februari…