Wasiwasi wazidi waliodaiwa kubabuliwa ngozi kwa mafuta ya kula Yombo
Dar es Salaam. Wakati Shirika la Viwango Tanzania (TBS) likisema bado lipo katika uchunguzi wa mafuta ya kula yanayodaiwa kuwaathiri wakazi zaidi ya 200 wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam, wakazi hao wameendelea kuwa na wasiwasi kuhusu afya zao kwa kuwa baadhi yao bado wanaumwa hadi sasa. Wananchi hao wanapaza sauti zao ikiwa zimepita…