Fahamu matunda tiba, kulingana na hali yako

Dar es Salaam. Katika dunia ya sasa, mabadiliko ya mwili na afya ni jambo la kawaida, lakini katika yote ni vyema ukafahamu namna bora ya kuondokana na mabadiliko hayo, bila kuathiri utendakaji kazi wa viungo vingine vya mwili. Wapo wanaoamini unywaji wa pombe hupunguza msongo wa mawazo, vinywaji vyenye kafeini ni tiba ya uchovu (energy…

Read More

Mastaa watatu Singida BS wasajiliwa hivi, TFF yafunguka

SIKU moja baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania masjala kuu ya Dodoma kuamuru kuitwa kortini wachezaji watatu wa Singida Black Stars, ili kujibu madai dhidi yao katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka, Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imethibitisha kwamba nyota hao wamesajiliwa kama wachezaji…

Read More

Alivyojinasua kifungo cha miaka 30 kwa kukutwa na bangi

Arusha. Abubakar Mbanje, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, ameachiwa huru baada ya Mahakama Kuu kumwachia huru. Uamuzi huu ulitolewa Februari 10, 2025 na Jaji Awamu Mbagwa, ambaye baada ya kupitia ushahidi wa kesi hiyo alibaini upande wa mashitaka ulishindwa kuthibitisha kwamba alikutwa na bangi. Abubakar…

Read More

Mambo matatu ubabe wa Simba, Yanga KMC Complex

Msimu uliopita, Simba na Yanga zilitumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam kwa mechi zao za nyumbani za Ligi Kuu baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa. Hata hivyo msimu huu, timu hizo mbili kwa nyakati tofauti ziliamua kuukimbia Uwanja wa Azam Complex na kutimkia Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar…

Read More

Wawili kortini wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya kilo 62

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wawili, Quizbat Shirima (38) na Linda Massawe (28) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa kilo 62.298. Watuhumiwa hao wote ni wakazi wa Dar es Salaam, Shirima (Kibada-Kigamboni) na Massawe (Kimara Bucha-Ubungo),  wamefikishwa mahakamani hapo…

Read More

Hamas yawaachilia mateka watatu wa Israel, Wapalestina 369 kunufaika

Gaza. Kundi la Hamas limewaachilia huru mateka watatu wa Israel waliokuwa wakishikiliwa katika eneo la Gaza, huku Israel ikitarajiwa kuwaachia Wapalestina 369 waliokuwa wakitumikia vifungo. Utaratibu wa kuachia mateka ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofanyika kuanzia Januari 2025 kati ya Hamas na Jeshi la Israel (IDF). Mateka waliokombolewa ni Sagui Dekel-Chen…

Read More