BILIONI 18 KUJENGA SOKO LA KISASA KIHESA -IRINGA
NA DENIS MLOWE IRINGA ZAIDI ya bilioni 18 zimetengwa kupitia mradi wa Uboreshaji Miji (TACTIC) kwa ajili ya ujenzi wa soko la kisasa katika kata ya Kihesa na ujenzi wa barabara ya Mkimbizi Mtwivila kwa kiwango cha Lami kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026. Hayo yamezungumzwa na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya…