Walimu 1500 wa Mkoa wa Singida wafikiwa na Kliniki ya Samia
Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendegu akizungumza na viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mara baada ya kufungua Kliniki ya Samia ya kutatua changamoto za Walimu katika Kliniki iliyofanyika Singida. Walimu wakiwa katika Kliniki ya kutatua changamoto yao iliyoratibiwa na CWT kwa kushirikiana na Serikali. Baadhi ya walimu wakipata huduma katika dawati la…