Serikali yatangaza ajira mpya 2,611, nyingi za ualimu, omba hapa
Dar es Salaam. Serikali imetangaza nafasi 2,611 za ajira Februari 10, 2025 huku kati ya nafasi hizo asilimia 98 ni za walimu wa kada mbalimbali. Katika tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma limesema mwisho wa kutuma maombi hayo ni Februari 20, 2025. “Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika…