Wasira ajitosa sakata la Dk Malisa kutimliwa CCM

Mwanza. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Dk Godfrey Malisa aliyepinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa chama hicho kumpitisha mgombea urais, Samia Suluhu Hassan akieleza ulikiuka katiba ya chama hicho tawala huku ikiwa imepita siku moja tangu avuliwe uanachama. Dk Malisa amefukuzwa uanachama Februari 10, 2025 baada ya kikao cha…

Read More

Dk Mpango avunja ukimya kuachia madaraka

Arusha. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amevunja ukimya na kueleza sababu za kuomba kupumzika nafasi hiyo ya ikiwa ni pamoja na kufanya kazi serikalini kwa muda mrefu na sasa anawaachia vijana wenye uwezo kubeba mzigo wa kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan. Dk Mpango si wa kwanza kufikia uamuzi kama huo, mwaka 1990 aliyekuwa Rais…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA KITUO CHA KISASA CHA UKAGUZI NA UPASISHAJI GARI DOLE KWASILVA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Dole Kwasilva, Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi…

Read More

KFC YAFUNGUA MGAHAWA MPYA KATIKA KITUO CHA SGR DAR

Waziri wa Uchukuzi,Prof. Makame Mbarawa kikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mgahawa wa chakula wa KFC katika stesheni ya John Pombe Magufuli jijini Dar es Salaam leo Februari 11, 2025. Wengine kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Dough Works Limited, Vikram Desai, Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya…

Read More

Uchaguzi Mkuu Zanzibar na mwangwi wa Maalim Seif

Dar es Salaam. Mwangwi wa Maalim Seif Sharif Hamad bado unasikika Zanzibar inapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2025, ukiwa ndio kwanza tangu uanze mfumo wa vyama vingi visiwani humo. Vilevile, chama chake cha ACT – Wazalendo nacho kinatazamiwa kushiriki uchaguzi huo, bila mwanasiasa huyo anayetajwa kama alama ya demokrasia ya vyama vingi na ushindani katika…

Read More