WASICHANA WAMETAKIWA KUSOMA SAYANSI KUKOMBOA JAMII

Farida Mangube Katika kuadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake na wasichana Katika sayansi, wasichana wametakiwa kutokuogopa kusoma masomo ya sayansi Kwa kuhofia kufanya vibaya na kushindwa kufikia malengo yao Wito huo umetokewa na Wanafunzi wasichana kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wanaosoma fani mbalimbali, wamesema Masoma ya sayansi ni masomo kama yalivyo…

Read More

ABOOD AIPONGEZA POLISI KWA KURATIBU MAFUNZO YA UDEREVA

MBUNGE wa Jimbo la Morogoro mjini, Abdul Azizi Abood amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kitengo cha usalama barabarani kwa kuratibu mafunzo ya udereva wa pikipiki na bajaji kwa vijana wasio na leseni katika Manispaa hiyo Abood ametoa pongezi hizo leo Februari 11, 2025 wakati wa zoezi la utoaji vyeti lililofanyika katika ukumbi wa…

Read More

Dakika 810 za maajabu JKT Tanzania

MAAFANDE wa JKT Tanzania ambao waliibania Yanga juzi, Jumatatu wamefikisha dakika 810 katika michezo tisa waliyocheza msimu huu wa 2024/25 huku wakiweka rekodi ya kuwa timu pekee ya Ligi Kuu Bara ambayo haijapoteza katika mashindano yote kwenye uwanja wake wa nyumbani. Katika michezo hiyo tisa mmoja ni wa Kombe la FA ambao ni dhidi ya…

Read More

Wanafunzi wanufaika wa Tasaf ‘walilia’ mikopo asilimia 100

Unguja. Wanafunzi wanaopata mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wameiomba Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) kuwapatia mikopo kwa asilimia 100 ili kuwawezesha kumudu gharama za masomo na maisha. Licha ya kupongeza hatua ya kunufaika na mikopo hiyo, wanafunzi hao wamesema bado wanakabiliana na changamoto mbalimbali kwani familia…

Read More

Pamba Jiji yatuma ujumbe kwa waamuzi

Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha matokeo yanayozifurahisha baadhi ya timu na kuziumiza nyingine. Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya timu hiyo kunyimwa bao lililofungwa na Salehe Masoud kwenye mchezo dhidi ya Azam FC uliopigwa Februari 9, mwaka huu, kwenye…

Read More

Kilichojiri kesi ya wanaodaiwa kumuua mwanafamilia

 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Februari 26, 2025, kuwasomea hoja za awali (PH) Sophia Mwenda (64) na mwanaye, Alphonce Magombola(36) wanaokabiliwa na kesi ya mauaji. Mwenda ambaye ni mkazi wa Mbagala anadaiwa kushirikiana na mtoto wake huyo wa kiume, kumuua Beatrice Magombola, ambaye ni binti yake wa kumzaa mwenyewe. Uamuzi huo…

Read More

Kipigo chamshtua kocha Fountain Gate

KIPIGO cha mabao mabao 2-0 walichopata Fountain Gate juzi kutoka kwa Ken Gold kimeonekana kumchanganya kocha mkuu wa timu hiyo, Robert Matano huku akiifungia kazi beki yake akielekeza nguvu mechi yao na Kagera Sugar. Matano ambaye alitambulishwa kikosini humo hivi karibuni akiziba pengo la mtangulizi wake, Mohamed Muya aliyesitishiwa mkataba kutokana na matokeo yasiyoridhisha. Kocha…

Read More