Aliyewazuia Dube, Mzize afichua siri, amtaja Chama
YALE makali ya washambuliaji wa Yanga, Clement Mzize na Prince Dube waliyoyaonyesha mechi saba zilizopita katika Ligi Kuu Bara, kipindi cha Kocha Sead Ramovic, yamezimwa leo Jumatatu na JKT Tanzania. Waliofanya kazi kubwa ya kuzima ubora huo ni mabeki wa JKT wakiongozwa na nahodha Edson Katanga na Wilson Nangu waliocheza pacha beki wa kati katika…