DC Serengeti, mjumbe CCM walivyonusurika kifo ajalini
Musoma. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa anayewakilisha mkoa wa Mara, Christopher Gachuma pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kemirembe Lwota wamepata ajali ya gari jana Februari 9, 2025 wakiwa njiani kwenda kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira. Akizungumza leo Jumatatu Februari 10, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa…