Handeni kufunga kamera za barabarani kudhibiti ajali, uhalifu
Handeni. Serikali ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga imekabidhi kamera kwa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kwa ajili ya kuzifunga barabarani kuanzia eneo la Mkata mpaka Segera ili kudhibiti matukio ya ajali za mara kwa mara. Ndani ya siku 45 kati ya Desemba 2024 mpaka Januari 2025, watu zaidi ya 20 wamefariki dunia…