Nyota saba washonwa ajali ya Dodoma Jiji
WACHEZAJI saba kati ya 37 waliopata majeraha katika ajali ya gari la timu ya Dodoma Jiji FC bado wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Kinyonga kutokana na kuumia kwa kukatwa na vioo wakati gari hilo lilipoanguka kwenye Mto Matandu katika barabara ya Kibiti-Lindi. Akizungumza na Mwanaspoti, Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo alisema ajali hiyo…